BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Friday, September 3, 2010

MSAADA WA PIKIPIKI!

Mmwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Tanga, Bw.Rogers Shemwelekwa (Kushoto) akimkabidhi pikipiki mpya aina ya Suzuki, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Muheza, Bi Safina Alfred ikiwa ni msaada kutoka UVCCM Taifa ambapo katika hafla hiyo iliyofanyika Ofisi Kuu za CCM Mkoa wa Tanga jumla ya baiskeli 167 na Pikipiki 9 na gari moja viligawiwa kuanzia ngazi ya Kata hadi Mkoa.

No comments:

Post a Comment