BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, September 28, 2010

MATONYA KUPIGA SHOW LONDON!!


Msanii kutokea mkoani Tanga ambaye anafanya vizuri kwenye ramani ya muziki wa Bongo Flava nchini, Seif Shaban a.k.a Matonya. Anatarajiwa kufanya show jijini London sanjari na Nonini msanii anayefanya Genge kutokea nchini Kenya.Show hiyo ambayo inatarajiwa kufanyika TEREZA JOANNE BOAT KING GEORGE V DOCK E16 2QY London, United Kingdom. Inatarajiwa kuwa ya aina yake kutokana na umahiri wa wasanii hao wawili. Show imeandaliwa na BONGOUK PRESENT EAST AFRICAN SHOW DOWN 2010. Big up Matonya!!

No comments:

Post a Comment