BLOG HII IMEDHAMINIWA NA: MWEKASU HOSTEL, PWEZA NIGHT CLUB TANGA, SOPHIA PRODUCTION, AFRICAN DESIGN, BREEZE FM, PANGANI COAST CULTURAL TOURISIM PROGRAMME, NA SAFARI LODGE ANNEX

Tuesday, September 14, 2010

"UNANIDATISHA" EXCLUSIVE VIDEO KUTOKA KWA ASHRAFF MAUNDIMabibi na Mabwana......namtambulisha kwenu kichwa kingine ndani ya Bongo Flava nchini Tanzania. Anaitwa Ashraff Maundi, Msanii, na pia ni Producer. Ngoma inaitwa 'Unanidatisha'. Audio na Video vimetengenezwa pale Maundi Bros Audio and Video Production. Yupo chini ya Waya Mkali Entertainment.

No comments:

Post a Comment